Wito huo
umetolewa na meya wa jiji la Mbeya Atanas kapunga alipokua akizindua chemba ya
maji taka katika shule ya Sekondali ya Rejiko jijini hapa.
Athanasi
kapunga meya wa jiji la Mbeya akiongea na watu pamoja na wanafunzi
walioudhulia uzinduzi wa chemba ya maji taka katika shule ya Sekondali
ya Rejiko jijini hapa. |
Kikundi cha sanaa cha ngoma ya asili ya kingoni kikitumbuiza katika uzinduzi wa chemba hiyo
Baadhi ya wakazi wa kata ya majengo na wanafunzi wa shule ya sekondali majengo waliofika kushuhudia kuzinduliwa kwa chemba ya maji taka.
Wenyeviti wa mitaa miwili ya kata ya majengo wakisalimia wananchi waliofika katika sherehe hizo
Eng: Simion shauri Mkurugenzi mtendaji wa malaka ya maji safi na maji taka jijini Mbeya
Joshua mwakitalima mkuu wa Shule ya Sekondali ya Rejiko akisoma historia fupi ya shule mbele a mgeni Rasmi
Eng: midelya paul akisoma risala ya mamlaka kwa mgeni rasmi
Jaji Atuganile Ngwala mwenyekiti wa bodi ya maji akimkaribisha mgeni rasmi kuzindua chemba ya maji taka na kuhutubia wananchi;
Athanas kapunga meya wa jiji la Mbeya akikata utepe ishara ya kuzindua chemba ya maji taka shuleni hapo
0 comments:
Post a Comment