Pages

Ads 468x60px

Friday, April 17, 2015

Tra yatoa mafunzo kwa walemavu wa kusikia



Serikali imetakiwa kuweka wataalamu wa kutafsri lugha za walemavu hasa wasiosikia  ili nao wapate huduma kama wengine.
Kissa kyejo
wito huo umetolewa na meneja tra mkoa wa mbeya  ARNOLD MAIMU wakati akifungua semina kwa walemavu hao  kuhusu ulipaji kodi na matumizi ya mashine za kiektroniki na kuwataka watumie mashine hizo.
 akizungumzia  changamoto wanayokabiliana nayo wakati wa kukusanya mapato kwa walemavu hao maimu amesema, Kua kukosekana kwa wataalam  wakutafsiri ya lugha kwa walemavu hao kulipelekea wao  kushindwa kutoa elimu kutokana na kuto fahamu namna ya kuwasiliana nao
katika hatua nyingine maimu   amewataka wabunge kuwaelimisha  wananchi kuhusu sheria mbalimbali kuwa zinatungwa na bunge  ili kupunguza malalamiko kwa wananchi ambao hudhani kwamba zinatungwa na taasisi  kama tra  nakusema wao niwatekelezaji wa sheria hizo.
Akijibu maswali kutoka kwa walemavu hao waliotakafafanuzi kuhusu  faida za matumizi za mashine za kielektroniki afisa elimu kwa mlipa kodi  KISSA KYEJO,…amesema moja ya faida za matumizi ya mashine hizo ni kutunza kumbukumbu  za mauzo ili kuepuka kulipa kodi ambayo ni zaidi ya mauzo ya mfanyabiashara.
Kissa kyejo Afisa elimu kwa walipa kodi nyanda za juu kusini akifundisha katika semina kwa walemavu wa kusikia





Faraja Mbwilo mtaaramu wa kutafsiri rugha ya alama akiwa katika semina ya walemavu wa kusikia

           Queen Majembe mmoja wa walemavu wa kusikia akiuliza swali katika semina hiyo
                                                                     Epafla Issaya
                                                          Severin lwenyagila
                                                                 Tunganege Jackson
               Tussa Mwenyekiti wa walemavi wakusikia (Viziwi) akitoa ufafanuzi katika semina




Baadhi ya washiriki wa semina wenye ulemavu wa kuto kusikia wakisilikili wa makini kwa rugha ya alama.

Tussa Mwenyekiti wa viziwi kushoto akiongea na mwandaishi wa habari wa gazeti la uhuru Ng`oko kulia na kutafsiliwa na mtaalamu wa rugha ya alama Faraja Mbwilo aliepo kati

0 comments:

Post a Comment