Pages

Ads 468x60px

Sunday, February 7, 2016

Maadhimisho ya Sikuya Kupinga Ukeketaji Duniani: TGNP yaunga mkono Wanaharakati Kipunguni Dar es salaam




Kama sehemuyakuadhimishaSikuyaKupingaUkeketajiDuniani, TGNP MtandaokwaushirikianonaShirika la WatuDuniani (UNFPA),wanaharakati, JamiiyaKipunguni, Dar es salaam imefanyamajadilianoyaliyowashirikishawananchiwaeneohilo, viongoziwaserikalizamitaa, 

 Mwakilishi wa Mkurugenzi wa TGNP Grace Kisetu (Aliyesimama), akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi
viongoziwadininavyamavyasiasapamojanawaandishiwahabarilengolikiwanikuwekamikakatiyakupambananaukeketaji.
Katikaufunguzi, MwakilishiwaMkurugenziMtendajiwa TGNPMtandao Bi. Grace Kisetu ameelezakuwalengo la kuadhimishasikuhiyonikuiletajamiipamojakatikakujadilihaliilivyo, kutambuachangamotonakutafutanjianzurizakukabilinanatatizo la ukeketaji.

“Takwimuzamwaka 2010 zinaoneshakuwa, takribaniasilimia 15 yawanawake Tanzania wamekeketajihivyomnawezakuonabado tuna kazikubwakwanivitendohivyovinaendelea”Ameeongeza Bi. Kisetu
Aidhaameelezakuwapamojana Tanzania 

kuridhiamikatabambalimbaliyakikandanakimataifainayomlindamwanamkepamojanakutungaSheriaNamba 16 yaKanunizaAdhabuambayoinatoaadhabuyakifungo cha miakamitatuhadikuminatano, badovitendovyaukeketajivinaendeleanchini.

Alitaja mikoa inayoongoza katika ukeketaji ikiwa ni pamoja na Manyara,(71%), Dodoma, (64%),  Arusha, (59%), Singida,(51%) Mara (40%), Morogoro, (21%) na Tanga ( 20%).
Akiwasilisha shughuli zinazofanywa na Kikundi cha Sauti ya Wananchi Kipunguni katika 

kupambana na ukeketaji katika kata hiyo, Mwenyekiti wa kikundi hicho Seleman Bishagazi amesema, kitendo hicho kimekuwa kikifanyika kwa siri kubwa. Amesisitiza kuwa baadhi ya familia za makabila yanayofanya ukeketaji katika eneo hilo huwafanyia ukeketaji watoto wao punde tu wanapozaliwa hivyo kuongeza changamoto zaidi.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Kipunguni Mohamed Msofe ameahidi kutafuta ofisi kwaajili ya kikundi hicho ili kiweze kufanya shughuli za harakati kwa ufanisi zaidi hasa katika kuleta maendeleo.

”Nawaomba viongozi wa dini, waalimu na wanaharakati kuendelea kushirikiana katika kutoa elimu na nawahimiza Sauti ya Wananchi Kipunguni kutoa elimu kuhusu ukeketaji kwa njia ya sanaa katika mikutano ya wananchi”

Mkuu wa Dawati la Jinsia kutoka kituo cha polisi Lydia Mrema amewataka wananchi kushirikiana na jeshi la polisi kwa kutoa taarifa na ushahidi ili haki iweze kutendeka. ”ushahidi ndio unaomtia mtu hatiani, lakini changamoto ni kuwa ushahidi unakuwa hafifu kwani wahusika huwa wanafamilia” Alisisitiza Lydia

Akitoaneno la kufungamjadalahuo, Mwakilishiwa UNFPA nchini Mary Nsemwaemesemakuwawanawakekatiyamilioni 100-140 wamekeketwadunianihukuukatilihuoukifanyikakatikanchi 28. 

Alielezakuwaukeketajiniukiukwajiwahakizabinadamunakusisitizakuwapamojanautoajiwaelimu, watuwanaohusikalazimawafikishwekwenyevyombohusika.

“tunawapongezakwakazinzurinatutaendeleakuungamkonojuhudizakupambananaukeketaji”. Alisisitiza Mary
Mwakilishi mwingine wa UNFPA Tausi Hassan alisema   

 Sehemu ya wananchi zaidi ya arobaini walioshiriki katika wa mjadala huo.
“kunahatariyakuongezekakwaidadiyamatukioyaukeketajikwanikatikautafitiuliofanywamwaka 2010 Dar esSalaamuilikuwanawastaniwaasilimia 0.3 lakiniutaftihuuukifanyikaidadiitaongezeka”.Hiinikwasababuwenyejiwanaotokamikoainayofanyamilayaukeketajiwamehamianakuishaihapa”.

Tukio hilo linakuja siku mbili kabla ya siku rasmi ya maadhimisho hayo ambayo hufanyika tarehe 6 Februari kila mwaka. Siku hiyo inayoratibiwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, huwaleta pamoja wadau katika kujadili masuala ya kisera, kisheria na kiutendaji katika kukabiliana na ukeketaji.



0 comments:

Post a Comment