
Mbunge
wa Jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael (mwenye suti) akiwa na Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya (Kulia) wakizungumza na Diwani
wa kata ya Ng'ambo ,Genesis Kiwhelu walipofika katika kata hiyo kujionea
athari za miondombinu iliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.
Sehemu ya miondo mbunu ya maji ikiwa imeharibika.
Mbuge
Jafary Michael na Mstahiki Meya ,Raymond Mboya pamoja na Diwani wa kata
ya Ng'ambo Genesis Kiwhelu wakiangalia eneo la daraja lililopo katka
kata hiyo namna lilivyoharibika kutokana na mvua zilizonyesha hivi
karibuni.
Sehemu ya daraja hilo.
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya akiwa katika moja ya kivuko
kilichopo kata ya Ng'ambo akiangalia athari ya mvua zilizonyesha hivi
karibuni.
Diwani
wa kata ya Msaranga,Anna Mushi akimueleza jambo Mbunge wa Jimbo la
Moshi mjini,Jafary Michael alipofanya ziara ya kujionea athari ya mvua
zilizonyesha hivi karibuni na kuharibu miundombinu.
Sehemu ya Korongo lililopo katika kati hiyo lililotokana na mvua.
0 comments:
Post a Comment