Pages

Ads 468x60px

Saturday, September 29, 2012

MJUMBE WA HALMASHAURI YA CHADEMA MKOA WA MBEYA APEWA KIBANO BAADA YA KUJIPENYEZA KATIKA MKUTANO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA WILAYA YA MBEYA MJINI

MMOJA WA POLISI AKIJARIBU KUMUOKO KUTOKA KWA MAKADA WA CCM
BWANA SWILA WILIAM KATIKATI AKIONDALEWA NA POLISI BAADA YA KUPATA KIPIGO NA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI


MTU MMOJA ANAYESADIKIWA KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHEDEMA) AMEJIKUTA KATIKA WAKATI MGUMU WA KUPATA KIPIGO NA WANAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) BAADA YA KUVAMIA MKUTANO WAO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA WILAYA

MTU HUYO ALIEJULIKANA KWA JINA LA SWILA WILIAMU MKAZI WA KALOBE MWENYE UMLI WA MIAKA 50 NA  NI MKUU WA SHULE YA SEKONDARI MSHEWE AMEKUMBWA NA MKASA HUO BAADA YA KUINGIA KATIKA MKUTANO KWA KITAMBULISHO CHA AFISA USALAMA WA TAIFA BILA KUJUA KUWA ANAJULIKANA NA BAADHI YA WANACHAMA WA (CCM)

BWANA WILIAM BAADA YA KUOKOLEWA NA JESHI LAPOLISI ANASHIKILIA NA JESHI HILO KWA KUPATA MAELEZO ZAIDI



Friday, September 28, 2012

MAKAMU WA MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLIBU AWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUYATUMIA MAFUNZO HAYO KWA MANUFAA YA JAMII

MAKAMU WA MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB MODESTUS NKULU AKIFUNGA MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI
MJUMBE WA KAMATI KUU YA MBEYA PRESS CLUB CHARLES MWAKIPESILE AKIMKARIBISHA MAKAMU WA MWENYEKITI ILI AFUNGE MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI
WAANDISHI WA HABARI WALIOHUDHURIA MAFUNZO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

MAKAMU WA MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB MODESTUS NKULU AMEWATAKA WANDISHI WA HABARI WALIOPATA MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM KUYATUMIA MAFUNZO HAYO KWA FAIDA YA JAMII NZIMA

AMEYASEMA HAYO ALIPOKUWA AKIHITIMISHA MAFUNZO YA SIKU NNE KWA WAANDISHI YENYELENGO LA KUWAJENGEA UWEZO WA KUANDIKA HABARI KWA NJIA YA MTANDAO.

Thursday, September 27, 2012

WAANDISHI WA HABARI MKONI MBEYA WAHITIMISHA MAFUZO YA ONLINE JOURNALISM

           WAANDISHI WAKIWA KATIKA KUHITIMISHA MAFUNZO YAO YA SIKU NNE

WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA WAHITIMISHA MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM  YALIYODUMU KWA MUDA WA SIKU NNE NA KUDHAMINIWA NA UMOJA WA VILABU  TANZANIA (UTPC)

MAFUNZO HAYO YENYE LENGO LA KUWA JENGEA UWEZO WA KUANDIKA HABARI KWA NJIA YA MTANDAO ILI KUENDANA NA TECHNOLOJIA YA KISASA

WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA WAPATA MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM

WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KATIKA MAFUNZO YAO KWA VITENDO

Wednesday, September 5, 2012

WAFANYA KAZI WA KAMPUNI YA WACHINA CICO MKOANI MBEYA WAMEGOMA KUFANYAKAZI BAADA MMOJAWAO KUPIGWA NA NONDO

HAPA WANAONEKANA WAKIWA NJE YA GETI MALA BAADA YA MMOJAWAO KUPIGWA NA NONDO NA MCHINA
Kushoto ni Eng. Engi Laynas Sanya Mhandisi wa jiji la mbeya katikai ni Eng.Leonard Kowelo na kulia naEng. Naftali chaula wakijaribu kusuruhisha mgogoro huo na wafanyakazi wa kampuni ya kigeni ya wachini
         Bana Kasimu kiongozi wa wafanyakazi akijaribu kuelezea masikitiko yao kwa uchungu mkubwa

NIWAJIBU WA MWANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI KUKIPENDA CHAMA CHAO

Hayo yamesemwa na mgombea wa wa nafasi ya Mwenyekiti mkoa wa mbeya ALAN MWAIGAGA maalufu kwa jina la MWAJI alipokua akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni walipomtembelewa nyumbani kwake mara baada ya kurudisha fom ya kuwania nafasi hiyo.

"Ni vema kwa mgombea yoyote anyetaka kluchuku nafasi ya kuwania kukiongoza chama cha mapinduzi ccm mkoa wa mbeya kwanza akipende kwa dhati na kuwa na nia ya kukijenga sana katika wakati huu wa vyama vingi vya siasa, kiongozi yoyote mzuri lazima ajue kipaumbela  na changamoto za cha chama chake" alisema MWAIGAGA

Hata hivtyo alisema atakapopata nafasi ya kukiongoza chama hicho atautumia muda wake mwingi kuwa na wanawananchi na na pia kuwajari vijana ambao ndiyo nguvu kazi nya taifa lolote,
Akatoa wito kwa viongozi wangine kuacha kasumba ya kukaa katika maofisi yao na kufaidi hewa za viyoyozi maofisini mwao hivyo waende waliko wananchi ndipo watajua mahitaji ya wanawaongoza

mwisho aliwaomba wananchama wote kumuunga mkono na kumcgua yeye kukiongoza cha hicho alichokitumikia kwa muda mlefu kwa uaminifu pia hata kwa wagombea wenza kuwa kitu kimoja hata kama watashindwa
               ALAN MWAIGAGA (MWAJI) Akiongea na waandishi wa Habari nyumbani kwake
Waandishi wa habari waliomtembelea mgombea mwenyekiti Mkoa wa Mbeya kupitia chama cha mapinduzi (ccm) ALAN MWAIGAGA)